Mytoori

THE MARATHON CHAMPION

GWIJI WA MBIO ZA NYIKA

Samuel Nang'ole

English

The short story is about a boy of fifteen who becomes a Marathon Champion despite the fact that he is very young.This comes about because he had been challenged to run while on the way to school by a lady after a joke.The story begins in Baringo in Kenya moves on to the USA and back to Nairobi Kenya.

Swahili

Hii hadithi fupi inazungumzia kijana ambaye anaibuka kuwa gwiji wa mbio za nyika ingawaje yeye ni mdogo mno.Ana miaka kumi na mitano tu.Hadithi yenyewe inaanzia Baringo Kenya, halafu inaenda huko Marekani halafu inaishia Nairobi Kenya.